Kiroma
Mandhari
Kiroma ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waroma kwenye kisiwa cha Romang. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiroma imehesabiwa kuwa watu 1700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiroma iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiroma kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiroma
- lugha ya Kiroma katika Glottolog
- lugha ya Kiroma kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiroma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |