Nenda kwa yaliyomo

Rogelio Cabrera López

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rogelio Cabrera López

Rogelio Cabrera López (alizaliwa 24 Januari 1951) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Mexico. Amehudumu kama Askofu Mkuu wa Monterrey tangu mwaka 2012. Amekuwa askofu tangu mwaka 1996.[1]

  1. "Arzobispo Mons. Rogelio Cabrera López". Arquidiócesis de Monterrey (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Februari 2021. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.