Rodrygo Silva de Goes
Rodrygo Silva de Goes (matamshi: ʁoˈdɾiɡu ˈsiwvɐ dʒi ˈɡɔjs [1] maarufu kwa jina la Rodrygo, alizaliwa 9 Januari 2001) ni mchezaji wa kulipwa wa soka kutoka nchini Brazili anayechezea Klabu ya Real Madrid ya Uhispania inayoshiriki ligi kuu (La Liga) na Timu ya Taifa ya Brazili nafasi ya winga wa kulia ama mshambuliaji.
Anatambulika kama mmoja wa mawinga bora kwa sasa duniani, akiwa na sifa ya kushambulia kwa kasi, kucheza kwa kujituma, kukokota mpira na umaliziaji.[2][3][4][5]}}
Rodrygo alianza kucheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Santos FC, Akiwa Santos alifanikia kucheza michezo 80 ambapo alifunga magoli 17 kabla ya uhamisho mwaka 2019 kwenda Real Madrid kwa ada ya €45 milion. Mchezo wake wa kwanza kutumikia timu ya taifa ilikua ni mwaka 2019 akiwa na mika 18 tu.
Rodrygo Goes alicheza mchezo wake wa kwanza timu ya taifa tareh 7 Novemba 2019. Katika fainali za kombe la dunia za mwaka 2022, Rodrygo alikua sehemu ya kikosi kilichoiwakilisha Brazili, walifanikiwa kufika hatu aya robo fainali. Kwenye fainali hizo, Rodrygo alivaa jezi namba kumi, namba hii ni ya kipekee sana kwenye historia ya timu ya Brazili.[6]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "How to pronounce Rodrygo Goes". Forvo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 15 Novemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The 25 best right wingers in world football – ranked". 90min.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). 11 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 9 Aprili 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ McCambridge, Ed; Hancock, Tom (14 Aprili 2023). "Ranked! The 10 best right-wingers in the world right now" (kwa Kiingereza). FourFourTwo. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Best wingers in the world 2024". Radio Times (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 4 Juni 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ranking the five best right-wingers in the world right now". The Football Faithful | Football News | Premier League News | Football Opinions | Football Analysis | Football Betting Tips | Football Transfers | The Football Faithful (kwa American English). 8 Aprili 2024. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Brennan, Feargal (2023-03-26). "Rodrygo Goes 'honoured' to wear Pele's Brazil No.10". Football España (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-07-13.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rodrygo Silva de Goes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |