Nenda kwa yaliyomo

Rodrigo Bentancur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rodrigo Bentancur ni mchezaji wa Uruguay ambaye anacheza kama kiungo kwenye klabu ya Italia Juventus.

Rodrigo Bentancur akawa mchezaji rasmi wa Juventus tarehe 1 Julai 2017, baada ya klabu kufanya fursa ya kumsaini Aprili 2017, katika mkataba ambao unamfanya klabu hadi 2022.

Rodrigo Bentancur mpaka sasa hivi anacheza Juventus.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rodrigo Bentancur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.