Rocky Dawuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rocky Dawuni
Rocky Dawuni

Rocky Dawuni ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji kutoka Ghana ambaye anaimba Afro Roots' sauti ambayo ni mchanganyiko wa muziki wa Reggae, Afrobeat, Highlife na Soul. Kwa sasa anaishi kati ya Ghana na Los Angeles. [1]

Dawuni alifahamu Reggae nchini Ghana aliposikia bendi ya kijeshi ikiimba moja ya nyimbo za Bob Marley katika Michel Camp; [2] kambi ya kijeshi ambako alikulia. [1] Dawuni alianzisha tamasha la kila mwaka la "Independence Splash", ambalo hufanyika nchini Ghana katika Siku ya Uhuru wa Ghana, Machi 6. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 "'Ghana's Bob Marley' spreads message of brotherhood", 23 August 2011. 
  2. Rocky grew up in Michel Camp, Ghana. katc.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-12-20. Iliwekwa mnamo 26 April 2016.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rocky Dawuni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.