Robinho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robinho

Robson de Souza (anajulikana sana kwa jina la Robinho; amezaliwa Sào Vicente, Brazil, 21 Januari 1984) anachezea timu ya taifa ya Brazil. Alishawahi kuchezea klabu kama Santos FC, Real Madrid, Manchester City, Milan n.k. Anacheza nafasi ya kiungo.

Ni mchezaji mkubwa na ameshacheza michuano kama Copa America na Fifa. Alianza akiwa na miaka 15 alipochukuliwa na mchezaji mkubwa maarufu kama Pelè.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robinho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.