Nenda kwa yaliyomo

Robin van Persie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Van Persie akiwa Arsenal

Robin van Persie (alizaliwa 6 Agosti 1983) alikuwa mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye alicheza namba 10.

Katika kipindi cha 2001-02 ndani ya UEFA Cup fainali timu yake ikiitwa dutch ya vipaji baada ya miaka (5) alienda kuichezea Arsenal ndani ya 2004 kwa E2.75 milioni alipokuwa katika klabu hiyo aliwahi kucheza kombe la FA Cup pia aliwahi kupewa ukiongozi wa timu au kapteni katika mwaka 2012 alihama Manchester United na ndio kipindi chake cka kwanza kumaliza msimu akiwa na magoli (26) na kuchukua mshindaji bora na kupewa zawadi ya Kiatu cha Dhahabu. Katika kipindi hicho alipata majeraha mawili na kuhama Manchester United na kwenda katika timu Fenerbahce ndani ya mwaka 2015 hadi 2020.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robin van Persie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.