Roberto Jáuregui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roberto Jáuregui

Roberto Jáuregui Alikuwa Mwargentina, mwandishi wa habari, mwigizaji, na mwanaharakati wa haki za binadamu.

Jáuregui alikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kupata VVU nchini Argentina, na wa kwanza kufichua hali yake hadharani.[1]. Alikuwa pia Mratibu Mkuu wa kwanza wa shirika la Fundación Huésped, ambalo ni shirika la afya ya umma la Argentina ambalo limejikita katika ufahamu dhidi ya UKIMWI na Tiba ya UKIMWI.[2][3]. Kaka yake, Carlos Jáuregui (mwanaharakati), pia alikuwa mwanaharakati wa haki za mashoga na masuala yanayohusiana na hayo.[4]

Matukio mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 1989, Jáuregui alikuwa ameambukizwa VVU, lakini hakuwa na pesa za kulipia matibabu. Alishutumu hadharani ukosefu wa usawa wa upatikanaji wa huduma za afya ambapo aliamini kuwa ilikuwepo nchini Argentina wakati huo, na kujitokeza hadharani kama mwanaharakati wa afya ya umma na matibabu ya VVU / UKIMWI.[5]

Alionekana kwenye kipindi cha televisheni cha Hora Clave mnamo mwaka 1993, ambapo mwandishi Mariano Grondona alimkaribisha Jáuregui kwa kumkumbatia, akionesha hadharani imani potofu kwamba kugusana kwa miili peke yake hakuwezi kusambaza VVU.[5] Wakati wa kipindi hicho, alipoulizwa na daktari kwamba kama anaogopa kifo, alijibu hauogopi kifo.[6][7]

Jáuregui pia alionekana kwenye telenovela Celeste akizugumza juu ya kuishi na VVU.[8] Muonekano huu ulitokana na mkakati wa UNICEF wa kutumia tamthiliya kuelimisha juu ya maswala ya kiafya.[8][9][10]=

Mnamo Januari 13, mwaka 1994, Jáuregui alikufa kwa ugonjwa wa UKIMWI.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Nuestra Historia". Fundación Huésped (kwa Kihispania). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-03. Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Línea de tiempo". Fundación Huésped (kwa Kihispania). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-03. Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Chavez, Valeria (March 9, 2019). "La historia del VIH, en una línea de tiempo: 18 hitos que marcaron la evolución de la enfermedad". infobae (kwa es-ES). Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Iwanek, Natalia (March 9, 2020). "Carlos Jáuregui: Profiling a Legendary Argentinian Queer Activist". Passion Passport (kwa en-US). Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. 5.0 5.1 Bazán, Osvaldo, 1963– (2016). Historia de la homosexualidad en la Argentina : de la conquista de América al siglo XXI (toleo la 4a edición). Buenos Aires. ISBN 978-987-3783-28-9. OCLC 957773495. 
  6. "Fundación Huésped". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  7. Palermonline. "Agregan El Nombre De Carlos Jaúregui A La Estación Santa Fe De La Línea H". Palermonline Noticias (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. 8.0 8.1 Melo, Adrian (July 20, 2018). "La novela de la vida". PAGINA12. Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  9. "Soap Operas as Teaching Tools". The Globalist (kwa en-US). June 11, 2016. Iliwekwa mnamo November 11, 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  10. Chelala, César. "Opinion | Learning From Soap Operas (Published 2010)", The New York Times, June 3, 2010. (en-US)