Robert Sherwood
Mandhari
(Elekezwa kutoka Robert E. Sherwood)
Robert Sherwood | |
---|---|
Ndoa | Madeline Hurlock (1935-55) Mary Brandon (1922-34) |
Robert Emmet Sherwood (4 Aprili 1896 – 14 Novemba 1955) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya zake zinazojishughulikia na shida za kijamii na za kisiasa. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara tatu: 1936, 1939 na 1941. Tena alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mwaka wa 1949 kwa kitabu chake Roosevelt and Hopkins.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Sherwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |