Robert Adamson (mwanzilishi wa programu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert G. Adamson III (alizaliwa 19 Oktoba, 1947 huko Salt Lake City, Utah ) ni mwanzilishi wa programu za kompyuta wa nchini Marekani.

Adamson alihitimu katika sayansi ya kompyuta katika Chuo Kikuu cha Utah mnamo 1971. Mnamo 1981, alianzisha Software Generation Technology Corp (SGT).[1] na kuandika, mojawapo ya lugha ya kompyuta katika mfumo mkuu wa shirika la IBM. SGT iliuzwa kwa Pansophic Systems[2] ambapo bidhaa hiyo ilipewa jina la GENER/OL.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Incorporated January 29, 1981, state of utah, file# 90569, notary Becky Garlick
  2. Continental Bank, Cashiers's Check cr 611575, February 9, 1983, 2.4 million dollars.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Adamson (mwanzilishi wa programu) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.