Richard Ofori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Richard Ofori (alizaliwa 1 Novemba 1993), ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama kipa katika klabu ya Maritzburg United na timu ya taifa ya soka ya Ghana.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Richard Ofori alianza kucheza kimataifa mwaka 2013 katika kombe la FIFA chini ya miaka 20: alicheza vizuri na hata kufika katika nafasi nzuri katika timu yake kuwa kama washindi wa tatu katika mashindano hayo.

Pia Ofori alicheza vizuri mechi dhidi ya Iraq.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Ofori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.