Nenda kwa yaliyomo

Richard Bakalyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Richard Bakalyan
Richard Bakalyan

Richard Bakalyan (Watertown, Massachusetts, Januari 29, 1931 - Februari 27, 2015) alikuwa mwigizaji filamu wa Marekani mwenye asili ya Armenia ambaye alianza kazi yake kwa kucheza kama kijana mhalifu.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Richard Bakalyan alikuwa mwana wa William Nishan Bakalyan aliyezaliwa Armenia.

Bakalyan aliwahi kutumikia katika Jeshi la Marekani la Umoja wa Mataifa wakati wa vita vya Korea.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Bakalyan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.