Nenda kwa yaliyomo

Resonac Dome Oita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo wa Resonac Dome Oita

Resonac Dome Oita ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2001 kwenye mji wa Ōita city, Ōita nchini Japani.

Uwanja huu hutumiwa na timu ya Oita Trinita na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 40,000.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Resonac Dome Oita kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.