Nenda kwa yaliyomo

Reperi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Reperi ni mji wa kale uliokuwepo kaskazini mwa Afrika, katika jimbo la Mauretania Caesariensis wakati wa Dola la Roma. Eneo la mji huo halijulikani, lakini unadhaniwa kuwepo kaskazini mwa Algeria.[1]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Reperi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.