Renato Longo
Mandhari
Renato Longo (9 Agosti 1937 - 8 Juni 2023) alikuwa mwanariadha wa Italia wa cyclo-cross racer.
Longo alishinda Mashindano ya Ulimwengu ya Cyclo-cross mara tano mwaka wa 1959, 1962, 1964, 1965 na 1967 na alikuwa bingwa wa italia wa Cyclo-cross mara 12.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Renato Longo". de wielersite.nl. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Aprili 2012. Iliwekwa mnamo 14 Februari 2008.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Renato Longo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |