Remona Burchell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Remona Burchell (alizaliwa September 15, 1961) ni mwanariadha wa Jamaika. Alipokuwa anashindana kwa ajili ya chuo kikuu Alabama alikuwa bingwa wa NCAA mara tatu, akishinda mita 60 kwenye michuano ya ndani ya NCAA mwaka 2014 na 2015. Aliweka rekodi  yake binafsi ya mita 100 ya sekunde 11.03 kwenye kufanikiwa kufuzu kuingia michuano ya nje ya NCAA 2014, ambapo alishinda ubingwa (akikimbia kwa sekunde 11.17)

Ukiachana na kukimbia Marekani, alikimbia kwa ajili ya Cambridge high school na baadae Herbert Morrison technical High School, zote zipo nchini Jamaika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]