Rema Namakula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Rehema Namakula (anajulikana zaidi kama Rema; amezaliwa 24 Aprili 1991) ni msanii wa Uganda.[1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Rema alizaliwa katika hospitali ya Lubaga, tarehe 24 Aprili 1991, kwa marehemu Hamida Nabbosa na marehemu Mukiibi Ssemakula.[2] Yeye ndiye mzaliwa wa mwisho katika familia yake. Alisoma Shule ya Msingi Kitante. Alisoma pia Shule ya Sekondari ya Saint Balikudembe kwa masomo yote ya O-Level na A-Level. Baadaye, alijiunga Chuo Kikuu cha Kyambogo ambayo hakuwahi kumaliza na anasema ana mpango wa kufanya hivyo baadaye.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sean Musa Carter (12 July 2016). Facts you Didn't Know About Rema Namakula. Ugblizz.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-10-07. Iliwekwa mnamo 6 October 2017.
  2. Mites, Isaac (21 March 2015). Rema Namakula Shares Her Biography. Bigeye.ug (Big Eye Uganda). Iliwekwa mnamo 6 October 2017.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rema Namakula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.