Nenda kwa yaliyomo

Reinhard Marx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Reinhard Marx

Reinhard Marx (alizaliwa 21 Septemba 1953) ni Kardinali wa Ujerumani wa Kanisa Katoliki. Anahudumu kama Askofu Mkuu wa Munich na Freising.

Papa Benedikto XVI alimteua kuwa Kardinali katika mkutano wa makardinali mwaka 2010.[1]

  1. (in it) Rinunce e Nomine, 20.12.2001 (Press release). Holy See Press Office. 20 December 2001. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2001/12/20/0693/02109.html. Retrieved 5 June 2021.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.