Refilwe Tholakele
Mandhari
Refilwe Tholakele | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Refilwe Tebogo Tholekele | |
Tarehe ya kuzaliwa | 26 Januari 1996[1] | |
Mahala pa kuzaliwa | Botswana | |
Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Mamelodi Sundowns Ladies F.C. | |
* Magoli alioshinda |
Refilwe Tebogo Tholekele (amezaliwa tarehe 26 Januarimwaka 1996), anayejulikana kwa jina la utani Seven,[2] ni mchezaji wa soka wa Botswana anayecheza kama mshambuliaji wa klabu ya Mamelodi Sundowns Ladies F.C. na timu ya taifa ya wanawake ya soka ya Botswana.[3][4][5]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Tholakele alianza kucheza soka la ushindani mwaka wa 2007. Akiwa na umri wa miaka 13, alialikwa kwenye kambi ya mazoezi ya timu ya taifa ya wanawake ya Botswana chini ya umri wa miaka 17 ambapo kocha mkuu Jacqueline Gaobinelwe alimpa jina la utani "Seven" kutokana na Tholakele kupenda kuvaa jezi yenye nambari hiyo na kuwa mwanafunzi wa darasa la Saba.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Refilwe Tholekele Stats". FBRef. Iliwekwa mnamo 2022-02-24.
- ↑ "Dazzling Tholakele makes firm statement", Mmegi, 29 July 2022.
- ↑ "Botswana touring Slovakia ahead of Banyana clash". Samuel Ahmadu. Goal. 2019-08-06. Iliwekwa mnamo 2021-09-05.
- ↑ "COSAFA Women's Championship: Botswana name provisional squad". Kick442. 2020-10-16. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-24. Iliwekwa mnamo 2021-09-05.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "Female Zebras In Historic COSAFA Final". Portia Mlilo. TheVoicebw. 2020-11-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-18. Iliwekwa mnamo 2021-09-05.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Refilwe Tholakele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |