Rebecca Stiles Taylor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rebecca Stiles Taylor, 1927

Rebecca Stiles Taylor (Agosti, 1879 - Desemba ,1958) alikuwa mwandishi wa habari, mfanyakazi za kijamii, na mwalimu kutoka Savannah, Georgia. Alijulikana sana kwa michango yake katika jamii kama mwanzilishi wa vituo kadhaa vya hisani katika eneo hilo na kama mwanaharakati wa haki za wanawake na haki za raia kwa jumla.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Taylor alipata elimu ya kutosha, alihitimu kutoka Alfred E. Beach High School , Chuo cha kati cha Beach, Chuo Kikuu cha Clark Atlanta, na baadaye alienda Chuo Kikuu cha Hampton na Columbia Chuo Kikuu.[1] Alianza kazi yake ya uandishi wa habari kama mwandishi wa habari wa gazeti la Savannah, ambapo hakuogopa kusema dhidi ya shida za kibaguzi za wakati huo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rebecca Stiles Taylor To Be Inducted Into Georgia Women of Achievement 2014". savannahtribune.com. December 25, 2013. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-05. Iliwekwa mnamo November 3, 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rebecca Stiles Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.