Nenda kwa yaliyomo

Rebecca Spencer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Spencer akiwa na Tottenham mnamo 2019

Rebecca Leigh "Becky" Spencer (alizaliwa 22 Februari 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Jamaika ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Jamaika.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rebecca Spencer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.