Nenda kwa yaliyomo

Real Talk (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Real Talk
Real Talk Cover
Albamu ya Lecrae Moore
Imerekodiwa 2004
Aina Nyimbo za Kikristo
Lebo Cross Movement Records
Wendo wa albamu za Lecrae Moore
Real Talk
(2005)
After the Music Stops(albamu)
(2006)


Real Talk ni albamu ya nyimbo za Kikristo ya kwanza ya Lecrae aliyounda akiwa pekee yake yaani akijitegemea.Hapo mwanzoni kulikuwa na toleo mbili tofauti ya albamu hii; moja ilyotolewa na Reach Records (2004) na toleo la Cross Movement (2005).Albamu hii ilikuwa nambari ya #29 katika chati ya Billboard za Kikristo.

Nyimbo zake

[hariri | hariri chanzo]
  1. Souled Out
  2. We Don't (ameshirikisha R-Swift)
  3. Aliens (ameshirikisha. Tedashii)
  4. Crossover
  5. Represent (ameshirikisha. Tedashii)
  6. Real Talk (Interlude)
  7. Take Me As I Am
  8. Tha Church (ameshirikisha. Sho Baraka)
  9. Nothin
  10. The Line (ameshirikisha. Tedashii)
  11. Who U Wit
  12. Heaven or Hell
  13. Wait (Intro)
  14. Wait (ameshirikisha. Steven Carter)

Kuna nyimbo mbili zilizofichwa:

  1. You're Faithful (To Me)
  2. Represent (Chopped and Screwed)
  1. http://www.billboard.com/#/album/lecrae/real-talk/733416