Nenda kwa yaliyomo

Reach Records

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Reach Records
Mwanzilishi *. Ben Washer
*. Lecrae Moore
Aina za muziki Nyimbo za Kikristo za aina ya hip hop
Nchi MarekaniMarekani
Mahala Atlanta, Georgia
Tovuti www.reachrecords.com

Reach Records ni studio ya Marekani ya kurekodi nyimbo za Kikristo na inajumuisha wasanii watano: Lecrae, Trip Lee, Tedashii , DJ Official na Sho Baraka. Wasanii hawa wanaoimba kwa mtindo wa muziki wa 'rap' walizuru Marekani kote na msanii mwenzao wa Kikristo ,FLAME. Ziara yao ilikuwa na jina la "Don't Waste Your Life" hasa ikimaanisha usitumie maisha yako vibaya. Reach Records ilihamia Atlanta, Georgia katika mwaka wa 2009 katika ushirikiano na kanisa la Blue Print Church.

Wanachama wa Reach Records

[hariri | hariri chanzo]

Diskografia ya Reach Records

[hariri | hariri chanzo]
  • Real Talk(albamu) 2005 (Lecrae)
  • Albamu ya Mkusanyiko 2005 (116 Clique)
  • Kingdom People 2006 (Tedashii)
  • If They Only Knew (Trip Lee)
  • After the Music Stops(albamu) 2006 (Lecrae)
  • 13 Letters 2007 (116 Clique) [4]
  • Amped 2007 (116 Clique) [5]
  • Turn My Life Up 2007 (Sho Baraka)
  • 20/20 2008 (Trip Lee) [7]
  • Rebel(albamu) 2008 (Lecrae)
  • Identity Crisis 2009 (Tedashii)
  • Entermission 2009 (DJ Official)
  • Lions and Liars 2010(Sho Baraka)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Angalia Pia

[hariri | hariri chanzo]

116 Clique

  1. Don't Waste Your Life Tour homepage
  2. Tedashii Kingdom People Review Ilihifadhiwa 1 Machi 2010 kwenye Wayback Machine.
  3. Lecrae After The Music Stops Review Ilihifadhiwa 14 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
  4. 116 Clique 13 letters Review Ilihifadhiwa 9 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
  5. Lecrae Rebel Review Ilihifadhiwa 3 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
  6. Sho Baraka Review Ilihifadhiwa 9 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
  7. Trip Lee 20/20 Review Ilihifadhiwa 12 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
  8. Lecrae Rebel Review Ilihifadhiwa 15 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.