Raymond Rushabiro
Raymond Rushabiro ni mwigizaji wa filamu na pia muigizaji wa jukwaa.
Alipata mafanikio kwenye uigizaji wake kupitia jukwaa maarufu la Uganda liitwalo Ebonies na akiwa na Ebonies alionekana kwenye maigizo yao mbalimbali. [1][2] Pia Rushabiro alionekana kwenye filamu ya Kweezi Kaganda Any cow will do” akiwa Pamoja na Namasagali oldstudents ambayo ilioneshwa kwenye jukwaa la Sinema la Taifa la Uganda. [3] alianza kuonekana kwenye sinema kama Kasirivu kwenye filamu ya Bala Bala Sese iliyoongozwa na Lukyamuzi Bashir. Alionekana pia kwenye filamu ya Uganda ya 2016 The Only Son (2016 film)., 2015 Situka na kama mwanaume wa familia Muwonge kwenye 5 @Home katika Fox Life. Alifanyia kazi filamu zingine pamoja na mifululizo ya filamu Freedom (2016 filamu) mwaka 2016, Girl from Mparo mwaka 2016, Kyaddala mwaka 2019.
Aliteuliwa kama muigizaji bora wa tamthiliya mwaka 2018 kwenye Africa Magic Viewers Choice Award[4][5].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2020-10-17.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-14. Iliwekwa mnamo 2020-10-17.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-17. Iliwekwa mnamo 2020-10-17.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-29. Iliwekwa mnamo 2020-10-17.
- ↑ https://glitzafrica.com/amvca-2018-nominees-list-out/