Nenda kwa yaliyomo

Rayan Cherki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cherki mnamo 2019

Mathis Rayan Cherki (alizaliwa 17 Agosti 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama kiungo mshambuliaji au kama winga wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rayan Cherki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.