Randy Orton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Randy Orton

Randy Orton (aliyezaliwa 1 Machi 1980) ni mpiganaji wa mieleka kutoka nchi ya Marekani. Kwa sasa amesajiliwa na WWE.

Randy Orton alianza katika toleo la 2001 la Smackdown dhidi ya Hardcore Holly. Yeye alishinda mechi kwa kumsonga hardcore.

Randy alikuwa ameshasainiwa na WWE Raw. Randy Orton, pamoja na Triple H, Batista na Ric Flair waliunda kundi la Evolution.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randy Orton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.