Rancagua
Mandhari
Rancagua | |
Majiranukta: 34°10′00″S 70°45′00″W / 34.16667°S 70.75000°W | |
Nchi | Chile |
---|---|
Mkoa | O'Higgins |
Wilaya | Cachapoal |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 214,344 |
Tovuti: www.rancagua.cl/ |
Rancagua ni jina la mji mkuu wa mkoa wa O'Higgins katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 220,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 572 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rancagua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |