Bendera ya upinde wa mvua
Mandhari
(Elekezwa kutoka Rainbow flag)
Bendera ya upinde wa mvua ni bendera yenye rangi nyingi inayojumuisha rangi za upinde wa mvua. Miundo hutofautiana, lakini rangi nyingi zinatokana na rangi zionekanazo katika mwanga wa rangi za upinde wa mvua.[1][2]
Bendera ya LGBT, iliyoanzishwa mwaka wa 1978, ndiyo inayofahamika zaidi kwa matumizi ya bendera ya namna hiyo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jraissati, Yasmina (2014-06). "On Color Categorization: Why Do We Name Seven Colors in the Rainbow?". Philosophy Compass. 9 (6): 382–391. doi:10.1111/phc3.12131. ISSN 1747-9991.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help) - ↑ Lee, Raymond L. (1991-08-20). "What are "all the colors of the rainbow"?". Applied Optics. 30 (24): 3401. doi:10.1364/ao.30.003401. ISSN 0003-6935.