Rainbow Prelude

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search


MangaThe Curtain is Still Blue TonightDemographicShōjo MangaPeacock ShellDemographicShōjo MangaThe Merchant of VeniceDemographicShōjoMagazineChugaku Ichinen CoursePublishedAprili 1959 MangaSong of the White PeacockDemographicShōjoMagazineNakayoshi MangaDemographicShōjoMagazineShōjo ComicOriginal run5 Oktoba 197526 Oktoba 1975 Anime and Manga Portal

Rainbow Prelude (虹のプレリュード Niji no Pureryuudo?) ni manga iliyoandikwa na Osamu Tezuka, na pia ni jina la mojawapo ya vitabu vyake katika mshororo wa Kodansha wa vitabu vya "Osamu Tezuka Manga Complete Works" vilivyo na mkusanyiko wa hadithi fupi za Tezuka. Hadithi fupi zilizounda kitabu hiki ni pamoja na "Rainbow Prelude", "The Curtain is Still Blue Tonight", fashoni ya manga ya tamthilia ya Shakespeare "The Merchant of Venice", "Peacock Shell", na "Song of the White Peacock".

Ploti[hariri | hariri chanzo]

Rainbow Prelude[hariri | hariri chanzo]

Hadithi inamusu msichana kwa jina la Rainbow Prelude. Huyu ni msichana mdogo wa Kifaransa ambaye anakutana na kumpenda Chopin, wakati ambapo Poland ilikuwa imekaliwa na majeshi ya Urusi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]