Rahila Bibi Kobra Alamshahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rahila Bibi Kobra Alamshahi ni mwanasiasa wa Afghanistan ambaye alichaguliwa kuwakilisha Mkoa wa Ghazni katika jumba la Wolesi Jirga Afghanistan, chumba cha chini cha Bunge lake la Kitaifa, mnamo mwaka 2005.[1]

Rahila Bibi Kobra Alamshahi ni mwanachama wa kundi la kikabila la Hazara pia ni mwalimu na mwandishi. Alikuwa mkimbizi nchini Iran kwa miaka 28.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mkoa: Ghazni", Navy Postgraduate School. Archived from the original on 2009-12-11. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rahila Bibi Kobra Alamshahi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.