Radio Tanzania Dar es Salaam
Mandhari
Radio Tanzania Dar Es Salaam ni chombo cha taifa la Tanzania ambacho hutoa burudani za aina mbalimbali kama vile muziki, ngoma za utamaduni, mpira, mashairi, taarabu na taarifa mbalimbali za kitaifa na za kimataifa.
Redio hii ina ofisi kuu yake Barabara ya Nyerere (zamani ilijulikana kama Pugu Road), Dar es Salaam.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Radio Tanzania Dar es Salaam kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |