Rachel Adams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rachel Cecilia Adams
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Manasiasa

Rachel Cecilia Adams (amezaliwa 9 Agosti 1963) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini kutoka bunge la Taifa la Afrika. Yeye ni mjumbe wa Bunge la Kitaifa la Afrika kusini kutoka cape kaskazini.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]