Nenda kwa yaliyomo

Queen Mbang Essobmadje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Reine Mbang Essobmadje, alizaliwa mwaka 1980, ni mhandisi wa mitandao na mawasiliano ya simu na mjasiriamali anayejihusisha na teknolojia za kidijitali. Yeye ni Mfaransa mwenye asili ya Kameruni. Mwanzilishi wa kampuni ya Evolving Consulting, anajulikana kama rejeo katika uwanja wa ushauri wa biashara na TEHAMA barani Afrika. Pia anafahamika kama mwanzilishi mwenza wa Digital Coalition, shirika lisilo la kiserikali linalolenga kueneza uchumi wa kidijitali barani Afrika.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Queen Mbang Essobmadje kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.