Q Jay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Q Jay
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Q Jay
Nchi Tanzania
Alizaliwa 19 Juni 1985
Aina ya muziki R&B - Bongo Flava
Kazi yake Mwanamuziki
Miaka ya kazi 2003 - hadi leo
Ameshirikiana na Dknob
Joslin
Macmua
Bandago
Ala Sauti
Kampuni Mj Records
Mwamba Production
Back Yard Records

Joseph Kevin Mapunda (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Q Jay; amezaliwa 19 Juni 1985) ni mwimbaji wa R&B na bongo flava kutoka nchi Tanzania.

Ni mmoja kati ya wanakundi la muziki maarufu wa R&B - Wakali Kwanza.

Anafamika zaidi kwa kibao chake "Hanifai" alichomshirikisha Joslin. Pia kupata kushirikishwa katika baadhi ya nyimbo maarufu za bongo flava kama vile, Kitu Gani, Nakupa Sifa na I'm for Real.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Q Jay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.