Puff adder
Puff adder ni nyoka mwenye sumu wa jamii ya kifutu anayepatikana savannah na nyasi katika Moroko na kusini magharibi mwa Arabia na hasa kote Afrika Kusini kwa Sahara isipokuwa katika maeneo ya misitu na ya mvua.
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Puff adder kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |