Proviso East High School

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Proviso East High School ni jina la shule ya upili katika mji ya Maywood, Illinois, Marekani. Ni shule ya serikali. Ilianzishwa mnamo 1911.


Mtandao rasmi: Proviso East High School

Aina: Darasa 9-12

Mkuu: Milton Patch

Watu mashuhuri waliopitia Proviso East High School[hariri | hariri chanzo]


Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Proviso East High School kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.