Maywood, Illinois
Mandhari
Maywood katika Proviso Township | |
Mahali pa mji wa Maywood katika Marekani |
|
Majiranukta: 41°52′52″N 87°50′36″W / 41.88111°N 87.84333°W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Illinois |
Wilaya | Cook |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 26,987 |
Tovuti: Village of Maywood |
Maywood ni mji wa Marekani katika jimbo la Illinois. Ni mji mdogo karibu na Chicago upande wa magharibi ya mji.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 26,987 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 32.9 km².
Chuo Kikuu
[hariri | hariri chanzo]Shule ya Upili
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Illinois bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maywood, Illinois kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |