Protoje
Mandhari
Oje Ken Ollivierre (anajulikana sana kama Protoje, alizaliwa 14 Juni 1981)[1] ni mwimbaji wa kisasa wa reggae na mwandishi wa nyimbo.
Mama yake Lorna Bennett ni mwimbaji na wakili kutoka Jamaika, anayejulikana zaidi kwa wimbo wake wa mwaka 1972 Breakfast in Bed.[2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Protoje age, hometown, biography". Last.fm. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Johnson, Richard (2015) "'My best work yet': Protoje pours it all in latest set", Jamaica Observer, 11 March 2015. Retrieved 12 March 2015
- ↑ MacLeod, Erin (12 Machi 2015). "Protoje: 'I wanted to capture the history of Jamaican music'". Theguardian.com. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Henry, Krista (28 Machi 2011). "All in the family – Cousins Protoje, Don Corleon share their love for music". Jamaica Star. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2024-10-15.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)