Maria Clotilde wa Savoy
Mandhari
(Elekezwa kutoka Princess Maria Clotilde of Savoy)
Maria Clotilde wa Savoy (2 Machi 1843 – 25 Juni 1911) alikuwa mtoto wa Vittorio Emanuele I, ambaye baadaye akawa Mfalme wa Italia, na wa mke wake wa kwanza, Adelaide wa Austria.
Maria Clotilde alikuwa mke wa Prince Napoléon-Jérôme Bonaparte.[1]
Alikuwa mshiriki wa Utawa wa Tatu wa Mtakatifu Dominiko, na ametangazwa kuwa Mtumishi wa Mungu na Papa Pius XII.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "1911". Hagiography Circle. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Madmonarchist (2011-06-22). "The Mad Monarchist: Servant of God Princess Maria Clotilde of Savoy". The Mad Monarchist. Iliwekwa mnamo 2020-11-09.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |