Nenda kwa yaliyomo

Prince William

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Prince William

Prince William, Dyuki wa Cambridge, KG, KT, ADC (William Arthur Philip Louis; alizaliwa 21 Juni 1982) ni memba wa familia ya kifalme ya Uingereza.

Yeye ni mtoto mkubwa wa Charles, Kibwana wa Wales, na Diana, Kibibi wa Wales. Tangu kuzaliwa, amekuwa wa pili katika kutakiwa kumrithi bibi yake Elizabeth II, ambaye ni malkia wa Uingereza na maeneo mengine 15 ya Jumuiya ya Madola.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Prince William kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.