Prince Nxumalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Prince Nxumalo (amezaliwa 18 Mei 1990) ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini anayechezea Ajax Cape Town kama mshambuliaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Prince Nxumalo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.