Primeval (TV Series)
Mandhari
Primeval ni filamu ya uigizaji iliyozalishwa na ITV ikishirikiana na Impossible Pictures.
Filamu hii iliundwa na Adrian Hodges na Tim Haines.
Filamu inahusu viumbe vya ajabu vinaingia katika dunia kupitia milango maalumu iitwayo kisayansi kwa jina la Anomalies.
Washiriki wa filamu
[hariri | hariri chanzo]- Douglas Henshall aliigiza kama Nick Cutter (episodi ya 1–3)
- James Murray aliigizza kama Stephen Hart (episodi ya 1–2)
- Andrew-Lee Potts aliigiza kama Connor Temple (episodi ya 1–5)
- Lucy Brown aliigiza kama Claudia Brown/Jenny Lewis (episodi ya 1–3, mgeni katika episodi ya 4)
- Hannah Spearritt aliigiza kama Abby Maitland (episodi ya 1–5)
- Juliet Aubrey aliigiza kama Helen Cutter (episodi ya 1–3)
- Ben Miller aliigiza kama James Lester (episodi ya 1–5)
- Laila Rouass aliigiza kama Sarah Page (episodi ya 3)
- Jason Flemyng aliigiza kama Danny Quinn (episodi ya 3,mgeni katika episodi ya 4)
- Ben Mansfield aliigiza kama Captain Hilary Becker (episodi ya 3–5)
- Ciarán McMenamin aliigiza kama Matt Anderson (episodi ya 4–5)
- Ruth Kearney aliigiza kama Jess Parker (episodi ya 4–5)
- Ruth Bradley aliigiza kama Emily Merchant (episodi ya 4–5)
- Alexander Siddig aliigiza kama Philip Burton (episodi ya 4–5)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: