Power Rangers Ninja Steel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Power Rangers Ninja Steel ni kipindi cha televisheni ambacho huonyeshwa kwenye chaneli ya CN ambacho huchezwa na maninja.

Mfululizo huo ni wa Kiingereza ambao umeiga mambo ya Kijapani kama vile mavazi na hata maneno kama vile Shuriken_Sentai_Ninninger ambayo ina maana ya Power Rangers Ninja Steel. Huu ni mfululizo wa kipindi cha televisheni kuhusu mashujaa kadhaa ambao wana nguvu za ajabu na kuzitumia kulinda mji wao huku waki andamwa na viumbe vya ajabu kutoka pande tofauti za ulimwengu. Power rangers pia wana mafunzo ya kininja katika upiganaji wao wakiwa na mafunzo na kihistoria power ranger wana nguvu kutoka kwenye viifaa vya asili ambavyo huenda na imani za kijapani kwa wanavyoamini nguo za power ranger yeyote huambatana na rangi ambazo huwakilisha vyeo vyao pamoja na nguvu mfano katika power ranger yeyote power ranger mwekundu ndiye mwenye nguvu zaidi na huchukuliwa kama kiongozi wao power ranger mwekundu ana urafiki na watu wangi wenye nguvu za aina yao mmoja wao ni malkia wa dunia ya simba. katika kila kitu cha kiteknolojia cha power ranger yeyote hufanyiwa marekebisho kwa sababu wana msaidizi wao katika kambi wanayo ishi ambapo msaidizi wao huwasaidia kufanya marekebisho ya kitu chao chochote cha kiteknolojia .power rangers wana saa zilizo tengenezwa na uwazo wakujibu swali lolote ambalo linaweza kufikirika hapa duniani pamoja nakuwasaidia saaa hizo zina weza zikatumika kama vifaa kwa ajili ya mawasiliano baina ya power ranger mmoja na mwingine power ranger wana mfumo wa nguvu ujulikanao kama mega trone ambao huwasaidia wakati wanapigana na viumbe wenye maumbile makubwa.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Power Rangers Ninja Steel kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.