Pori la Akiba la Dikhololo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kambi ya Kudu iliyopo Dikhololo
Kambi ya Kudu iliyopo Dikhololo

Dikhololo ni hifadhi katika Mkoa wa Kaskazini-Magharibi mwa Afrika Kusini, kilomita 24 (km 34 kutoka barabarani) kaskazini mwa mji wa Brits.

Ni eneo linalofikiwa na umma kwa mapumziko , linalotoa malazi katika vyumba vya kulala vilivyowekwa katika kambi katika eneo lote la hifadhi, baadhi katika vilima vya chini.

Wanyama wanaozurura hifadhini kwa uhuru ni pamoja na baadhi ya swala: pundamilia, twiga, duiker wa kawaida, steenbok, blesbok, impala, nyumbu wa buluu, nyumbu wekundu, nyala, kudu na eland na wanyamapori wengine.

Kuna vifaa mbalimbali vya burudani, kuna mabwawa ya kuogelea (moja lililopashwa joto) kupitia mifereji ya maji, viwanja vya tenesi vilivyo na mwanga wa taa, putt-putt, kuendesha baiskeli na michezo ya kuendesha.[1]

mapumziko huwavutia wageni kutoka maeneo ya jirani kam Pretoria na Johannesburg.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Book Accommodation Online - Unique and Unforgettable (en-US). Dikhololo. Iliwekwa mnamo 2022-06-11.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pori la Akiba la Dikhololo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.