Poor Righteous Teachers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Wise Intelligent moja ya wana kikundi cha hip-hop Poor Righteous Teachers
Poor Righteous Teachers
Asili yake Trenton, New Jersey
Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1989–1996, 2001-Present
Studio Profile/Arista/BMG Records
Tovuti http://www.myspace.com/onlypoorrighteousteachers
Wanachama wa sasa
Wise Intelligent
Culture Freedom
Father Shaheed

Poor Righteous Teachers lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lenye athira kubwa ya East Coast hip hop. Wanachama wa kundi hili ni Wise Intelligent, Culture Freedom na Father Shaheed. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1989.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Maelezo ya albamu
Holy Intellect
  • Released: 16 Machi 1990
  • Billboard 200 chart position: #142
  • R&B/Hip-Hop chart position: #17
  • Singles: "Time to Say Peace"/"Butt Naked Booty Bless", "Rock Dis Funky Joint",
    "Holy Intellect"/"Self-Styled Wisdom"
Pure Poverty
  • Released: 1 Julai 1991
  • Billboard 200 chart position: #155
  • R&B/Hip-Hop chart position: #23
  • Singles: "Shakiyla (JRH)"/"Stricly Mash'ion", "Easy Star"
Black Business
  • Released: 14 Septemba 1993
  • Billboard 200 chart position: #167
  • R&B/Hip-Hop chart position: #29
  • Singles: "Nobody Move"/"Da Rill Shit"
The New World Order
  • Released: 1 Oktoba 1996
  • Billboard 200 chart position: -
  • R&B/Hip-Hop chart position: #57
  • Singles: "Word Iz Life"/"Dreadful Day", "Conscious Style"

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Poor Righteous Teachers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.