Poloo
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Poloo ni vitafunwa vya Ghana ambavyo vinavyoandaliwa kwa unga wa nazi wa kukaanga au biskuti ya kukaanga.
Viungo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vinavyotumika katika utayarishaji.
Unga.
Nazi.
Chumvi.
Mafuta ya mboga.
Maji.