Po (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mto wa Po
Mto wa Po
Mto wa Po
Chanzo Milima ya Monviso
Mdomo Bahari ya Adria
Nchi za beseni ya mto Italia (100.0%)
Urefu 652 km

Po ni mto mrefu zaidi katika Italia mwenye urefu wa kilomita 652. Unapita kaskazini ya Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi kuelekea mashariki hadi mdomo wake kwenye bahari ya Adria karibu na mji wa Venisi. Beseni yake huwa na eneo la 71,000 km².

Unavuka mikoa minne: Piemonte, Lombardia, Emilia-Romagna, Veneto. Hapo unapita kwenye miji muhimu kama vile Torino (Torino) na karibu na Milano.

Kwenye mdomo wake huishia katika eneo la delta.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Po (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.