Nenda kwa yaliyomo

Pluto Shervington

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leighton Keith "Pluto" Shervington (13 Agosti 1950 – 19 Januari 2024) alikuwa msanii wa reggae, mwimbaji, mhandisi wa sauti na mtayarishaji wa rekodi kutoka Jamaika.[1][2]

  1. "Pluto Shervington". Music Unites Jamaica Foundation. Iliwekwa mnamo 23 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Mills, Claude (20 Januari 2024). "Reggae Singer Pluto Shervington Dead At 73". Dancehallmag.com. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)