Nenda kwa yaliyomo

Plan B (2019 filamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Plan B ni filamu ya mapenzi ya kuchekesha ya mwaka 2019 yenye asili ya Kenya na Naijeria[1] iliyoandikwa, kuongozwa na kuhaririwa na mtayarishaji wa filamu za Kinaijeria Lowladee. wasanii maarufu wa kike na watayarishaji maarufu wa Kenya Sarah Hassan, Catherine Kamau Karanja, na muigizaji wa kinaijeria Daniel Etim Effiong waliokua ni wahusika wakuu[2][3]

mwaka 2020 ilichukua tuzo ya mwaka katika tuzo za Filamu bora za Afrika mashariki chini ya waandaaji Africa Magic Viewers' Choice Awards (AMVCAs)[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "PLAN B: A hilarious Kenyan love tale with a twist". Nation (kwa Kiingereza). 2020-07-02. Iliwekwa mnamo 2022-08-06.
  2. Published by (2020-01-30). "Plan B". Paukwa (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-08-06.
  3. BellaNaija.com (2019-01-15). "WATCH Trailer for LowlaDee's New Film "PLAN B" on BN". BellaNaija (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-06.
  4. "African Movie Academy Awards (AMAA) (Abuja, Nigeria)", African Studies Companion Online (kwa Kiingereza), Brill, doi:10.1163/1872-9037_afco_asc_3118, iliwekwa mnamo 2022-08-06
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Plan B (2019 filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.