Nenda kwa yaliyomo

Pius Ncube

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Askofu mkuu Pius Ncube

Pius Alick Mvundla Ncube (31 Desemba 1946) aliwahi kuwa askofu mkuu wa kanisa katoliki la Bulawayo, Zimbabwe, hadi alipojiuzulu tarehe 11 Septemba 2007. Akiwa anajulikana sana kwa utetezi wake wa haki za binadamu, Ncube alikuwa mkosoaji mkubwa wa rais wa zamani Robert Mugabe.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pius Ncube kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.